mkopo

Sasa unaweza kuomba mkopo kutokea popote pale ulipo, nasi tutakuhudumia kwa haraka zaidi ndani ya masaa 24 tu!, baada ya kukamilisha taratibu zote. Unachotakiwa kufanya ni kujaza fomu yetu ya mkopo kwa njia ya mtandao.

BIMA

Je unatafuta huduma za bima? usihangaike , sisi tuko tayari kukupatia huduma zote za bima kupitia kampuni yetu tanzu ya ACCEPT Insurance. Huduma zetu ni za haraka na uhakika na kuaminika. Karibu tukuhudumie.

ushauri

Je umekwama kiuchumi, au unahitaji ushauri wa kibiashara na kifedha, kabla na baada ya kuchukua mkopo, karibu uzungumze nasi. Timu yetu ya wataalamu wa fedha wapo tayari kukushauri .

Viwango vya Mkopo!

Mkopo wa Dharura
Tsh10m

Muda wa marejesho ni miezi 6

MAHITAJI MUHIMU
 Picha ndogo 3
Gari na kadi yake 
Kitambulisho
Barua kutoka serikali ya mtaa
Taarifa ya benki

wafanyakazi
Tsh10m

Muda wa marejesho ni miezi 6

MAHITAJI MUHIMU

Taarifa ya mshahara
Kadi ya gari
Mdhamini 1 kutoka kazini
Barua kutoka kazini 
Barua ya serikali ya mtaa

WAFANYABIASHARA
Tsh20m

Muda wa marejesho ni miezi 6

MAHITAJI MUHIMU
Leseni ya Biashara
Cheti cha usajiri
Cheti cha mlipakodi
Barua ya serikali ya mtaa
Uthibitisho wa dhamana

Huduma Tunazotoa!

Mkopo wa Dharura

Maalumu kwaajili ya kukidhi mahitaji ya dharura ya wateja wetu. Mkopo unatolewa ndani ya masaa2 tuu

Mkopo wa Ada ya shule

Maalumu kwaajili ya kulipia ada ya shule ya mwanafunzi, pale mzazi anapokwama kiuchumi. Unatolewa ndani ya masaa 24.

Mkopo wa Wafanyakazi

Kwa ajili ya wafanyakazi wa tasisi mbalimbali za umma na mashirika binafsi yaliyosajiliwa kisheria.

Mkopo wa Ushuru

Maalumu kwaajili ya kulipia ushuru wa forodha kwa mteja wetu aliyeagiza gari kutoka nje ya nchi.

Mkopo wa Gari

Kwaajili ya mteja wetu anayetaka kununua gari na hana fedha ya kutosha kulipia gharama za manunuzi.

Mkopo wa Bajaji

Maalumu kwa mteja anayetaka kufanya biashara ya uchukuzi, kwa kutumia bajaji ili imuongezee kipato

Mafanikio Yetu!

Matawi
MIAKA YA HUDUMA
+
IDADI YA WATEJA
B +
KIWANGO CHA MIKOPO

Kutana na Timu Yetu!

TUKO TAYARI KUKUHUDUMIA

Isaac M Mmasi

Mkurugenzi mkuu & Mwanzilishi

Josephine I Mushi

Mkurugenzi Msaidizi

Deusdedit Ofunguo

Meneja wa Maendeleo ya Biashara

Matukio Mbalimbali!

We're here for you!

Wasiliana nasi!

Endapo una maswali maoni au unahitaji ushauli, jza fomu hii iliyopo kulia kwako, na mtoa huduma wetu atawasiliana nawe kwa haraka. Pia  usisite kuwasiliana nasi mojakwamoja kwenye matawi yetu yaliyopo

Makao makuu

P.O Box 34130
HSE No.006/Block 41  Kinondoni , Morocco

Tawi la Tegeta

Kibo Complex Tegeta
Ghorofa ya Kwanza
P: +255 754 808 330

Tawi la Kariakoo

Swahili Plaza Kariakoo
Ghorofa ya kwanza
P: +255 710 694 449

Connect